Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) pamoja na Jeshi la Polisi zashiriki " 2nd Military All African Games"
Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lashiriki mashindano ya " 2nd Military All African Games" yanayofanyika katika jiji kuu la Abuja Nchini Nigeria,katika mashindano hayo JWTZ kushiriki jumla ya michezo mitatu ambayo ni GOLF, BOXING & MARATHON, mashindano hayo yalianza tarehe 18...