BAMMATA washiriki kikao cha kamati tendaji tarehe 4 augusti 2023

Kamati tendaji ya Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) wameendesha  kikao katika Ukumbi wa Lenana Mwanza, kujadili Michezo ya BAMMATA na kuongeza idadi ya Michezo ikiwemo timu za wanawake kwenye mpira wa miguu.

Pia kuangalia eneo ambalo mashindano hayo ya BAMMATA yanatarajiwa kufanyika hapo mwakani 2024

Matukio katika picha

Mwenyekiti na katibu wa BAMMATA wakiendesha kikao cha kamati tendaji

Mwenyekiti na katibu wa BAMMATA wakiendesha kikao cha kamati tendaji

Baadhi ya wajumbe wa kamati tendaji ya BAMMATA wakiwa kwenye kikao

Baadhi ya wajumbe wa kamati tendaji ya BAMMATA wakiwa kwenye kikao

Wajumbe kamati tendaji ya BAMMATA

Wajumbe kamati tendaji ya BAMMATA

Kikao cha kamati tendaji ya BAMMATA

Kikao cha kamati tendaji ya BAMMATA