Kanda ya SMZ

Maafisa na Askari kanda ya SMZ katika picha ya pamoja

Kanda ya SMZ  ni moja kati ya kanda nane zinazounda Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) ambacho ni chombo cha kitaalamu cha michezo kilichosajiliwa kihalali kwa lengo la kusimamia na kuratibu shughuli za michezo kwa Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ).Baraza hili lilianzishwa rasmi mwaka 1977.

Madhumuni ya BAMMATA ni kuendeleza mahusiano, urafiki na undugu baina ya Majeshi ya Ulinzi, Usalama na Idara Maalum za SMZ na wananchi kwa ujumla. Aidha, Baraza huendesha mashindano yake kwa kushirikisha michezo mbalimbali kila mwaka ambayo ni Mpira wa Miguu, Netiboli, Ngumi, Riadha, Mpira wa Mikono, Mpira wa Kikapu, Mieleka, Mpira wa Magongo, Shabaha na Kuogelea.

Habari na Matuikio katika Kanda ya SMZ

Kanda ya SMZ katika Mashindano ya BAMMATA Mkoani Mtwara
Kanda ya SMZ katika Mashindano ya BAMMATA Mkoani Mtwara
Soma zaidi 🡢
Medali ya Bronze mshindi wa tatu wa ujumla kwa wanawake kwenye mchezo wa Riadha Mbiofupi kutoka Kanda ya SMZ
Medali ya Bronze mshindi wa tatu wa ujumla kwa wanawake kwenye mchezo wa Riadha Mbiofupi kutoka Kanda ya SMZ
Soma zaidi 🡢