Kanda ya JKT

JKT

Kanda ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT ni moja kati ya kanda nane zinazounda Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) ambacho ni chombo cha kitaalamu cha michezo kilichosajiliwa kihalali kwa lengo la kusimamia na kuratibu shughuli za michezo kwa Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ).Baraza hili lilianzishwa rasmi mwaka 1977.

Madhumuni ya BAMMATA ni kuendeleza mahusiano, urafiki na undugu baina ya Majeshi ya Ulinzi, Usalama na Idara Maalum za SMZ na wananchi kwa ujumla. Aidha, Baraza huendesha mashindano yake kwa kushirikisha michezo mbalimbali kila mwaka ambayo ni Mpira wa Miguu, Netiboli, Ngumi, Riadha, Mpira wa Mikono, Mpira wa Kikapu, Mieleka, Mpira wa Magongo, Shabaha na Kuogelea.

Habari na Matuikio katika Kanda ya JKT

JKT Tanzania katika michuano ligi kuu Tanzania bara dhidi ya timu ya Yanga
JKT Tanzania katika michuano ligi kuu Tanzania bara dhidi ya timu ya Yanga
Soma zaidi 🡢
Timu ya JKT Tanzania ikiwa katika uwanja wa Majaliwa uliopo katika Mkoa wa Lindi dhidi ya Namungo FC
Timu ya JKT Tanzania ikiwa katika uwanja wa Majaliwa uliopo katika Mkoa wa Lindi dhidi ya Namungo FC
Soma zaidi 🡢
Timu ya Kanda JKT mabingwa wa jumla mashindano ya volleyball
Timu ya Kanda JKT mabingwa wa jumla mashindano ya volleyball
Soma zaidi 🡢
Timu ya JKT wanawake watwaa ubingwa  wa Volleyball kwa upande wa wanawake
Timu ya JKT wanawake watwaa ubingwa wa Volleyball kwa upande wa wanawake
Soma zaidi 🡢
Timu ya JKT mchezo wa volleyball wanawake michezo ya Majeshi 2021 dodoma
Timu ya JKT mchezo wa volleyball wanawake michezo ya Majeshi 2021 dodoma
Soma zaidi 🡢
Jacob mabondo jkt vs Haji Ally matumla polisi DDC kaliakoo Dsm klabu Bingwa ya taifa 1990
Jacob mabondo jkt vs Haji Ally matumla polisi DDC kaliakoo Dsm klabu Bingwa ya taifa 1990
Soma zaidi 🡢