JKT Tanzania katika michuano ligi kuu Tanzania bara dhidi ya timu ya Yanga
Kikosi cha timu ya JKT Tanzania kikiwa katika picha ya pamoja kabda ya kuvaana na timu ya Yanga katika mfululizo wa michuano ya ligi kuu soka Tanzania bara katika uwanja wa Benjamini mkapa jijini Dsm msimu wa 2019/2020.Katika mchezo huyo JKT Tanzania ikipoteza baada ya kufungwa goli 2-0.