BAMMATA yaendesha mashindano ya ulengaji shabaha

Washiriki pamoja na wasimamizi wa mashindano ya Ulengaji Shabaha wakiwa katika Harakati za Mashindano ya Majeshi Tanzania BAMMATA yaliyofanyika february 2019 katika Viwanja vya Kunduchi Jijini Dar es Salaam.
Mchezo huo wa ulengaji ulifanyika ili kuimarisha uwezo wa kulenga shabaha miongoni mwa wajumbe wa BAMMTA