Mwenyekiti wa BAMMATA Brigedia Jenerali Suleiman B. Gwaya akimkabidhi Cheti kutoka BAMMATA Koplo Hamis Maliki Mpili wa Kanda ya POLISI

Mwenyekiti wa BAMMATA Brigedia Jenerali Suleiman B. Gwaya  akimkabidhi Cheti kutoka BAMMATA Koplo Hamis Maliki Mpili wa Kanda ya POLISI kwa kujitoa kwake kwa kuanzisha Kituo cha Michezo Mkoani Rukwa ,Hafla hiyo ilifanyika wakati wa Kamati Tendaji  ya BAMMATA Ilipokuwa ikiendelea na Kikao cha Kwanza cha Kamati ya Mashindano ya Michezo ya Majeshi  itakayo fanyika Mkoani Mtwara mwaka huu 2023,Hafla hiyo fupi ili fanyika katika Ukumbi  wa MGULANI  JKT Dar es Salaam, Tarehe 13 Jan 2023