Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mh. Tabia Maulid Tabia ashiriki sherehe za Ufunguzi wa Michezo ya BAMMATA

Mgeni rasmi katika Ufunguzi wa  Michezo ya Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA)  Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mh. Tabia Maulid Tabia(Mbunge), Mh. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas Ahmed  na Mwenyekiti wa BAMMATA Brigedia Jenerali Suleiman Gwaya,wakiwa katika sherehe za Ufunguzi wa Michezo ya BAMMATA Tarehe 9/2/2023 Mkoani Mtwara. Michezo hiyo ikijumuisha kanda zote za BAMMATA.