Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani Mh.Jumanne Sagini ahudhuria katika sherehe ya Ufungaji wa Michezo ya Majeshi

Mgeni
Rasmi katika Sherehe za Ufungaji wa Michezo ya Majeshi Tanzania Naibu Waziri Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mh.Jumanne Sagini (kushoto) akiwa katika sherehe za
Ufungaji wa Michezo ya Majeshi Tanzania pamoja na Muwakilishi wa Mwenyekiti wa Baraza
la Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania (CDF) Luteni Jenerali Salim Haji
Othman (kulia) na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA)
Brigedia Jenerali Suleiman Bakari Gwaya(katikati) wakiangalia Mechi ya Mpira wa
Miguu ya Ufungaji kati ya SMZ na UHAMIAJI katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona
Mkoani Mtwara tarehe 21 February 2023