Kanali Davidi Luoga kuwa Katibu Mkuu wa BAMMATA
.jpg)
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi amteua Kanali Davidi Luoga kuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo ya
Majeshi Tanzania (BAMMATA) ambaye akichukua nafasi ya Kanali Martin Msumari ambaye amepangiwa
majukumu mengine ndani ya JWTZ.