Kanda ya Ngome

Washiriki wa michezo ya majeshi

Kanda ya Ngome ni moja kati ya kanda nane zinazounda Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) ambacho ni chombo cha kitaalamu cha michezo kilichosajiliwa kihalali kwa lengo la kusimamia na kuratibu shughuli za michezo kwa Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ).Baraza hili lilianzishwa rasmi mwaka 1977.

Madhumuni ya BAMMATA ni kuendeleza mahusiano, urafiki na undugu baina ya Majeshi ya Ulinzi, Usalama na Idara Maalum za SMZ na wananchi kwa ujumla. Aidha, Baraza huendesha mashindano yake kwa kushirikisha michezo mbalimbali kila mwaka ambayo ni Mpira wa Miguu, Netiboli, Ngumi, Riadha, Mpira wa Mikono, Mpira wa Kikapu, Mieleka, Mpira wa Magongo, Shabaha na Kuogelea.

Habari na Matuikio katika Kanda ya Ngome

JWTZ yashiriki michezo ya majeshi -Nairobi Kenya 2019

Soma zaidi 🡢
Timu teule ya Squash Brigedi ya NYUKI (101KV)

Mwanariadha wa Tanzania toka Kanda ya Ngome aibuka mshindi wa tatu Milano Marathon zilizofanyika 03 Aprili 2022

Timu za ngome handball wanaume na wanawake walishiriki mashindano ya klabu bingwa Taifa mach 2022

Timu ya Mieleka kanda ya Ngome imefanikiwa kuwa mabingwa wa kombe la Muungano 2022 Jijini DODOMA

Timu ya mpira wa Wavu (Volleyball) kanda ya Ngome yashiriki ligi ya mkoa wa Dar es Salaam

Timu ya Riadha Kanda ya Ngome imeshiriki mashindano ya riadha ya "Tulia Marathon"

Timu ya basketball Kanda ya Ngome yachukua ubingwa wa Muungano Cup

Timu Handball wanaume Kanda ya Ngome imeshiriki mashindano ya Maadhimisho ya Kumbukizi ya Mauaji ya Kimbari yaliyofanyika nchini Rwanda

Timu ya Handball toka kanda ya Ngome yawa mabingwa wa kombe la klabu Bingwa muungan May 2022o Cup

Timu ya Kikapu ya JWTZ yaagwa rasmi kuelekea Ujerumani

Ushiriki wa Timu ya JWTZ Ya Mpira wa Kikapu katika Mashindano ya Majeshi Nchini Ujerumani

JWTZ YATINGA UTURUKI ANTALYA KWA MASHINDANO YA DUNIA YA NUSU MARATHONI YA MAJESHI

TANZANIA YANG'AA RIADHA KIMATAIFA
TANZANIA YANG'AA RIADHA KIMATAIFA
Soma zaidi 🡢