Timu ya Riadha Kanda ya Ngome imeshiriki mashindano ya riadha ya "Tulia Marathon"

Timu ya Riadha Kanda ya Ngome imeshiriki mashindano ya riadha ya "Tulia Marathon" yaliyofanyika jijini Mbeya kuanzia tarehe 06 - 07 Mei 2022 na kushika nafasi ya kwanza kwenye mbio zote ikiwemo 1500m, 10km, 32km na 42 km.