Waziri wa Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mh Tabia Maulid Mwita akiwa katika sherehe ya kuwapongeza Kanda ya SMZ kwa Ushindi

Waziri wa Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar
Mh Tabia Maulid Mwita (wakati) katika Kikosi cha Vallantia
katika Sherehe maalum ya kuwapongeza
Kanda ya SMZ kwa Ushindi mkubwa walioupata katika Mashindano ya Baraza la
Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) yaliyofanyika Mkoani Mtwara Tar 09 -21
February 2023.