Kanda ya Magereza

Washiriki wa michezo kanda ya Magereza

Kanda ya Magereza ni moja kati ya kanda nane zinazounda Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) ambacho ni chombo cha kitaalamu cha michezo kilichosajiliwa kihalali kwa lengo la kusimamia na kuratibu shughuli za michezo kwa Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ).Baraza hili lilianzishwa rasmi mwaka 1977.

Madhumuni ya BAMMATA ni kuendeleza mahusiano, urafiki na undugu baina ya Majeshi ya Ulinzi, Usalama na Idara Maalum za SMZ na wananchi kwa ujumla. Aidha, Baraza huendesha mashindano yake kwa kushirikisha michezo mbalimbali kila mwaka ambayo ni Mpira wa Miguu, Netiboli, Ngumi, Riadha, Mpira wa Mikono, Mpira wa Kikapu, Mieleka, Mpira wa Magongo, Shabaha na Kuogelea.

Habari na Matuikio katika Kanda ya Magereza

Mwanariadha wa Jeshi la Magereza katika Mchezo ya Riadha chini Finland mwaka 2005
Mwanariadha wa Jeshi la Magereza katika Mchezo ya Riadha chini Finland mwaka 2005
Soma zaidi 🡢
Magereza washinda Mchezo wa Judo vilabu vya majeshi East Africa
Magereza washinda Mchezo wa Judo vilabu vya majeshi East Africa
Soma zaidi 🡢
Mwanariadha wa mbio za kati Lwiza John, akiwakilisha Jeshi la Magereza nje na ndani ya Nchi
Mwanariadha wa mbio za kati Lwiza John, akiwakilisha Jeshi la Magereza nje na ndani ya Nchi
Soma zaidi 🡢
Mwanariadha wa Jeshi la Magereza aliwakilisha Taifa Mashindano ya Vijana Italia 2004
Mwanariadha wa Jeshi la Magereza aliwakilisha Taifa Mashindano ya Vijana Italia 2004
Soma zaidi 🡢