Mwanariadha wa Jeshi la Magereza aliwakilisha Taifa Mashindano ya Vijana Italia 2004

Andrew Sambu ni mwanariadha mwingine ambaye aliliwakilisha jeshi vizuri katika mashindano mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa mfano 1991 kwenye mashindano ya Dunia ya vijana ya mita 3000 nchini Italia.
Alivunja rekodi na 2004 alikimbia marathon Seoul Korea na kutumia muda wa saa 2:09:52.