Kanda ya Visiwani
KUHUSU KANDA YA VISIWANI
Kanda ya visiwani ni moja kati ya kanda zinazounda Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA), Ambapo ina jumla ya timu teule idadi 10 nazo ni:
a. Timu teule ya mpira wa miguu
b. Timu teule ya mpira wa Kikapu
c. Timu teule ya mpira wa Mikono
d. Timu teule ya mpira wa Netball
e. Timu teule ya mpira wa Magongo
f. Timu teule ya mpira wa Ukuta
g. Timu teule ya mpira wa Wavu
h. Timu teule ya Riadha
j. Timu teule ya Shabaha
k. Timu teule ya Karate
Kanda ya visiwani katika kukuza michezo nchini imekua
ikihakikisha na kuwapatia mafunzo mbali mbali wachezaji,waamuzi na makocha hii
imekua ikiongoza ushindani katika mashindano mbali mbali inayoshiriki ya ndani
na nje ya nchi.