Timu ya Mpira wa Wavu ya Brigedi ya NYUKI (101KV) Bingwa wa Mpira Wavu (Volley Ball) 2020

Timu teule ya Mpira wa Wavu ya Brigedi ya NYUKI (101KV),katika mashindano hayo yalichezwa mwezi wa Apr 2020, Mgeni rasmi alikua Mkuu wa Wilaya ya Wete Mheshimiwa ALI ABEID, Pamoja na Sheha wa Shehia ya Majenzi. Pia katika mashindano hayo timu ya Nyuki ilifanikiwa kuchukua nafasi ya pili na Bingwa wa Mpira huo wa Wavu (Volley Ball) 2020 alikua Mafunzo ya Zanzibar.

Timu hiyo teule ya Mpira wa Wavu ya Brigedi ya NYUKI (101KV), ilishiriki katika mashindano ya ligi kuu ya Zanzibar yaliyofanyika katika kisiwa cha Pemba mwaka 2020 na mashindano yalishirikisha timu nane,timu nne kutoka Unguja na timu nne kutoka Pemba