MEJA KASUI ACHAGULIWA RAIS WA KAMATI YA UFUNDI CISM
Pongezi kwa Meja Mohamed Haruna Kasui, kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Kamati ya Ufundi ya Mpira wa Kikapu (Basketball Sport Committee President - PCSC) katika Baraza la Michezo la Majeshi Duniani (CISM).