Habari na Matukio

Washindi wa jumla wa BAMMATA February 2023

Washindi wa jumla wa BAMMATA February 2023

Mwenyekiti wa BAMMATA Brigedia Jenerali Suleiman Bakari Gwaya (katikati) katika picha ya pamoja na washindi wa jumla mmoj mmoja katika mchezo wa Shabaha katika Michezo ya Majeshi iliyo fanyika katika viwanja vya chuo cha ualimu Mkoani Mtwara February 2023
Medali ya Bronze mshindi wa tatu wa ujumla kwa wanawake kwenye mchezo wa Riadha Mbiofupi kutoka Kanda ya SMZ

Medali ya Bronze mshindi wa tatu wa ujumla kwa wanawake kwenye mchezo wa Riadha Mbiofupi kutoka Kanda ya SMZ

Makamu Mwenyekiti wa BAMMATA DCF Kennedy Komba akimvisha medali ya Bronze mshindi wa tatu wa ujumla kwa wanawake kwenye mchezo wa Riadha Mbiofupi kutoka Kanda ya SMZ katika Michezo ya Majeshi iliyo fanyika katika viwanja vya chuo cha ualimu Mkoani Mtwara February 2023
Kanda ya SMZ katika Mashindano ya BAMMATA Mkoani Mtwara

Kanda ya SMZ katika Mashindano ya BAMMATA Mkoani Mtwara

Baadhi ya Wanamichezo toka Kanda ya SMZ wakionyesha Viongozi wa Baraza la Wawakilishi Vikombe walivyoshinda katika Michezo ya Majeshi (BAMMATA) iliyofanyika Mkoani Mtwara tarehe 09- 21 February 2023
Shere za Ufungaji wa Michezo ya Majeshi Mtwara katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara tarehe 21 February 2023

Shere za Ufungaji wa Michezo ya Majeshi Mtwara katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara tarehe 21 February 2023

Mgeni Rasmi katika Sherehe za Ufungaji wa Michezo ya Majeshi Tanzania Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mh.Jumanne Sagini akimvalisha Medali ya Heshima kutoka BAMMATA Mwakilishi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Luteni Kanali Juma Shamhuna katika Shere za Ufungaji wa Michezo...
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani Mh.Jumanne Sagini ahudhuria katika sherehe ya Ufungaji wa Michezo ya Majeshi

Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani Mh.Jumanne Sagini ahudhuria katika sherehe ya Ufungaji wa Michezo ya Majeshi

Mgeni Rasmi katika Sherehe za Ufungaji wa Michezo ya Majeshi Tanzania Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mh.Jumanne Sagini akiwa katika sherehe za Ufungaji wa Michezo ya Majeshi Tanzania pamoja na Muwakilishi wa Mwenyekiti wa Baraza la Vyombo vya Ulinzi na...
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mh. Tabia Maulid Tabia ashiriki sherehe za Ufunguzi wa Michezo ya BAMMATA

Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mh. Tabia Maulid Tabia ashiriki sherehe za Ufunguzi wa Michezo ya BAMMATA

Mgeni rasmi katika Ufunguzi wa  Michezo ya Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA)  Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mh. Tabia Maulid Tabia(Mbunge), Mh. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas Ahmed  na Mwenyekiti wa BAMMATA Brigedia Jenerali Suleiman Gwaya,wakiwa katika sherehe...
BAMMATA MEDIA TOUR

BAMMATA MEDIA TOUR

Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) kupitia  Mawasiliano na Matukio Inajulisha kwamba Utaratibu wa Kufanya MEDIA TOUR katika Vipindi vya TV& Radio unaendelea kufanyika katika Vyombo vya Habari Mbalimbali Mkoani Dar es Salaam.
Koplo Hamis Maliki Mpili wa Kanda ya POLISI akabidhiwa cheti kwa kujitoa kwake kwa kuanzisha Kituo cha Michezo Mkoani Rukwa

Koplo Hamis Maliki Mpili wa Kanda ya POLISI akabidhiwa cheti kwa kujitoa kwake kwa kuanzisha Kituo cha Michezo Mkoani Rukwa

Mwenyekiti wa BAMMATA Brigedia Jenerali Suleiman B. Gwaya akimkabidhi Cheti kutoka BAMMATA Koplo Hamis Maliki Mpili wa Kanda ya POLISI kwa kujitoa kwake kwa kuanzisha Kituo cha Michezo Mkoani Rukwa ,Hafla hiyo ilifanyika wakati wa Kamati Tendaji ya BAMMATA Ilipokuwa ikiendelea na Kikao cha...
Kamati tendaji na kikao cha kwanza cha Kamati ya Mashindano ya BAMMATA Kilicho fanyika katika Ukumbi wa MGULANI JKT

Kamati tendaji na kikao cha kwanza cha Kamati ya Mashindano ya BAMMATA Kilicho fanyika katika Ukumbi wa MGULANI JKT

Mwenyekiti wa BAMMATA Brigedia Jenerali Suleiman B. Gwaya , Katibu BAMMATA Kanali Martini S.Msumari  na Makamu mwenyekiti  DCF Kennedy C.Komba  pamoja na Sekretarieti wahudhuria kikao cha Kumi na Moja cha Kamati tendaji na kikao cha kwanza cha Kamati ya Mashindano ya BAMMATA Kilicho fanyika...
Kikao cha Kumi (10) cha Kamati Tendaji ya BAMMATA Kilichofanyika katika Ukumbi wa MBWENI JKT Dar es Salaam

Kikao cha Kumi (10) cha Kamati Tendaji ya BAMMATA Kilichofanyika katika Ukumbi wa MBWENI JKT Dar es Salaam

Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa kumi wa BAMMATA wafanyika ukiogozwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa WIZARA YA UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO Mhe. Ally Mayay Tembele akiwa na viongozi wa Sekretariet ya Kamati Tendaji ya Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA)
Ushiriki wa Timu ya JWTZ Ya Mpira wa Kikapu katika Mashindano ya Majeshi Nchini Ujerumani

Ushiriki wa Timu ya JWTZ Ya Mpira wa Kikapu katika Mashindano ya Majeshi Nchini Ujerumani

Timu ya Mpira wa kikapu ilishirikisha Kiongozi mmoja (Chief of delegation), Mwalimu na wachezaji idadi nane (08) walioshiriki mashindano ya kwanza ya Majeshi ya Dunia kwa Mpira wa kikapu (3 by 3) yaliyofanyika Warendorf nchini Ujerumani. Shindano hilo ni moja kati ya mashindano yanayoratibiwa...
Timu ya Kikapu ya JWTZ yaagwa rasmi kuelekea Ujerumani

Timu ya Kikapu ya JWTZ yaagwa rasmi kuelekea Ujerumani

Timu Teule ya Mpira wa Kikapu  Ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania  imeagwa rasmi leo tarehe 02 Julai 2022  Katika Viwanjani Vya Don Bosco( Oysterbey) Jijini Dar es salaam kuelekea Nchini Ujerumani  katika Mashindano ya Majeshi Duniani ya Wachezaji watatu watatu.
Timu ya Handball toka kanda ya Ngome yawa mabingwa wa kombe la klabu Bingwa muungan May 2022o Cup

Timu ya Handball toka kanda ya Ngome yawa mabingwa wa kombe la klabu Bingwa muungan May 2022o Cup

Timu ya Handball toka kanda ya Ngome yawa mabingwa wa kombe la klabu Bingwa muungano Cup yaliyofanyika visiwani Zanzibar kuanzia tarehe 18- 23 May 22
Timu Handball wanaume Kanda ya Ngome imeshiriki mashindano ya Maadhimisho ya Kumbukizi ya Mauaji ya Kimbari yaliyofanyika nchini Rwanda

Timu Handball wanaume Kanda ya Ngome imeshiriki mashindano ya Maadhimisho ya Kumbukizi ya Mauaji ya Kimbari yaliyofanyika nchini Rwanda

Timu Handball wanaume Kanda ya Ngome imeshiriki mashindano ya Maadhimisho ya Kumbukizi ya Mauaji ya Kimbari yaliyofanyika nchini Rwanda kuanzia tarehe 28 - 29 Mei 2022 na kufanikiwa kumaliza hatua ya Robo fainali .
Timu ya basketball Kanda ya Ngome yachukua ubingwa wa Muungano Cup

Timu ya basketball Kanda ya Ngome yachukua ubingwa wa Muungano Cup

Timu ya basketball Kanda ya Ngome yachukua ubingwa wa Muungano Cup yaliyofanyika Unguja, Visiwani Zanzibar kuanzia tarehe 07 - 08 Mei 2022 pamoja na kutoa kocha bora wa mashindano Askari wa kike mwanadada Lucy Ngodamwilanga