Washindi wa jumla wa BAMMATA February 2023

Mwenyekiti wa BAMMATA
Brigedia Jenerali Suleiman Bakari Gwaya (katikati) katika picha ya
pamoja na washindi wa jumla mmoj mmoja katika mchezo wa Shabaha katika Michezo
ya Majeshi iliyo fanyika katika viwanja vya chuo cha ualimu Mkoani Mtwara
February 2023