Medali ya Bronze mshindi wa tatu wa ujumla kwa wanawake kwenye mchezo wa Riadha Mbiofupi kutoka Kanda ya SMZ

Makamu Mwenyekiti wa BAMMATA
DCF Kennedy Komba akimvisha
medali ya Bronze mshindi wa tatu
wa ujumla kwa wanawake kwenye mchezo wa Riadha Mbiofupi kutoka Kanda ya SMZ katika Michezo ya
Majeshi iliyo fanyika katika viwanja vya chuo cha ualimu Mkoani Mtwara February
2023