Shere za Ufungaji wa Michezo ya Majeshi Mtwara katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara tarehe 21 February 2023

Mgeni
Rasmi katika Sherehe za Ufungaji wa Michezo ya Majeshi Tanzania Naibu Waziri Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mh.Jumanne Sagini akimvalisha Medali ya Heshima
kutoka BAMMATA Mwakilishi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Luteni Kanali Juma
Shamhuna katika Shere za Ufungaji wa Michezo ya Majeshi Mtwara katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara
tarehe 21 February 2023