Habari na Matukio

Timu ya Riadha Kanda ya Ngome imeshiriki mashindano ya riadha ya "Tulia Marathon"

Timu ya Riadha Kanda ya Ngome imeshiriki mashindano ya riadha ya "Tulia Marathon"

Timu ya Riadha Kanda ya Ngome imeshiriki mashindano ya riadha ya "Tulia Marathon" yaliyofanyika jijini Mbeya kuanzia tarehe 06 - 07 Mei 2022 na kushika nafasi ya kwanza kwenye mbio zote ikiwemo 1500m, 10km, 32km na 42 km.
Timu ya mpira wa Wavu (Volleyball) kanda ya Ngome yashiriki ligi ya mkoa wa Dar es Salaam

Timu ya mpira wa Wavu (Volleyball) kanda ya Ngome yashiriki ligi ya mkoa wa Dar es Salaam

Timu ya mpira wa Wavu (Volleyball) kanda ya Ngome ikiendelea na ushiriki wa ligi ya mkoa wa Dar es Salaam (DAREVA) mwaka 2022, yanayofanyika jijini Dar es Salaam.
Timu ya Mieleka kanda ya Ngome imefanikiwa kuwa mabingwa wa kombe la Muungano 2022 Jijini DODOMA

Timu ya Mieleka kanda ya Ngome imefanikiwa kuwa mabingwa wa kombe la Muungano 2022 Jijini DODOMA

Timu ya Mieleka kanda ya Ngome imefanikiwa kuwa mabingwa wa kombe la Muungano 2022 yaliyofanyika jijini  Dodoma na kupata Medali saba.  Mgeni Rasmi wakati wa ufungaji alikuwa Mkurugenzi wa Utimamu wa Mwili, Michezo na Utamaduni Jeshini Kanali Martin Msumari.
Timu za ngome handball wanaume na wanawake walishiriki mashindano ya klabu bingwa Taifa mach 2022

Timu za ngome handball wanaume na wanawake walishiriki mashindano ya klabu bingwa Taifa mach 2022

Timu za ngome handball wanaume na wanawake walishiriki mashindano ya klabu bingwa Taifa yaliyofanyika Bunda Mkoani Mara mwezi marchi 2022, timu ya wanaume ilikuwa mabingwa na wanawake washindi wa pili.
Mwanariadha wa Tanzania toka Kanda ya Ngome aibuka mshindi wa tatu Milano Marathon zilizofanyika 03 Aprili 2022

Mwanariadha wa Tanzania toka Kanda ya Ngome aibuka mshindi wa tatu Milano Marathon zilizofanyika 03 Aprili 2022

Mwanariadha wa Tanzania toka Kanda ya Ngome Felix Alphonce Simbu wa kwanza toka kulia alishiriki mbio kubwa za Kimataifa za Milano Marathon zilizofanyika nchini Italia tarehe 03 Aprili 2022 na kuipeperusha bendera ya Tanzania kwa kushika nafasi ya tatu akitanguliwa na Wakenya wawili.
Mwenyekiti wa BAMMATA amezitaka kanda za BAMMATA kuongeza timu katika michezo ya majeshi inayotarajiwa kufanyika jijini Mbeya mwaka huu

Mwenyekiti wa BAMMATA amezitaka kanda za BAMMATA kuongeza timu katika michezo ya majeshi inayotarajiwa kufanyika jijini Mbeya mwaka huu

Mwenyekiti wa BAMMATA Brig Gen Suleiman Gwaya ametoa wito kwa kanda mbalimbali zinazounda BAMMATA kuongeza timu za Ngumi, Mchezo wa Vishale  na Judo katika michezo ya majeshi inayotarajiwa kufanyika jijini Mbeya baadaye mwaka huu.
Ushindi wa kihistoria wa Filbert Bayi.

Ushindi wa kihistoria wa Filbert Bayi.

Mwanariadha wa zamani wa Tanzania wa mbio za kati ambaye alishiriki katika miaka ya 1970 hadi 1980. Aliweka rekodi za dunia za mita 1500 mwaka 1974 na maili (8 year mile record) mwaka 1975.
Mwanariadha wa Jeshi la Magereza aliwakilisha Taifa Mashindano ya Vijana Italia 2004

Mwanariadha wa Jeshi la Magereza aliwakilisha Taifa Mashindano ya Vijana Italia 2004

Andrew Sambu ni mwanariadha mwingine ambaye aliliwakilisha jeshi vizuri katika mashindano mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa mfano 1991 kwenye mashindano ya Dunia ya vijana ya mita 3000 nchini Italia.
Mwanariadha wa mbio ndefu wa Jeshi la Magereza John Burra

Mwanariadha wa mbio ndefu wa Jeshi la Magereza John Burra

Mwanariadha mwingine wa mbio ndefu wa jeshi la Magereza anayeitwa John Burra ambaye ameliwakilisha Taifa katika mashindano mbalimbali.
Mwanariadha wa mbio za kati Lwiza John, akiwakilisha Jeshi la Magereza nje na ndani ya Nchi

Mwanariadha wa mbio za kati Lwiza John, akiwakilisha Jeshi la Magereza nje na ndani ya Nchi

MWANARIADHA kutoka Jeshi la Magereza ambae alikuwa timu ya riadha ya taifa katika mbio fupi na za kati (Short and Middle distance) Lwiza John ambaye pia alishiriki mashindano mbalimbali ya kimataifa
Jacob mabondo jkt vs Haji Ally matumla polisi DDC kaliakoo Dsm klabu Bingwa ya taifa 1990

Jacob mabondo jkt vs Haji Ally matumla polisi DDC kaliakoo Dsm klabu Bingwa ya taifa 1990

Ulikuwa ni mpambano wa maswumbwidhidi ya Jacob mabondo JKT vs Haji Ally matumla polisi DDC kariakoo Dar es salaam klabu Bingwa ya taifa 1990
Timu ya JKT mchezo wa volleyball wanawake michezo ya Majeshi 2021 dodoma

Timu ya JKT mchezo wa volleyball wanawake michezo ya Majeshi 2021 dodoma

Timu ya Kanda ya JKT mchezo wa volleyball wanawake waibuka mabingwa wa michezo ya Majeshi (BAMMATA) 2021 Jijini dodoma, wapewa kombe
Timu ya JKT wanawake watwaa ubingwa  wa Volleyball kwa upande wa wanawake

Timu ya JKT wanawake watwaa ubingwa wa Volleyball kwa upande wa wanawake

Timu ya JKT mchezo wa Volleyball wanawake watwaa ubingwa katika michuano maazimisho ya Mapinduzi Cup 2021 Zanzibar
Timu ya Kanda JKT mabingwa wa jumla mashindano ya volleyball

Timu ya Kanda JKT mabingwa wa jumla mashindano ya volleyball

Timu ya Kanda JKT mabingwa wa jumla mashindano ya volleyball yaliyofanyika jijini Mbeya kwa mwaka 2021
Timu ya JKT Tanzania ikiwa katika uwanja wa Majaliwa uliopo katika Mkoa wa Lindi dhidi ya Namungo FC

Timu ya JKT Tanzania ikiwa katika uwanja wa Majaliwa uliopo katika Mkoa wa Lindi dhidi ya Namungo FC

Kikosi cha Timu ya JKT Tanzania yavaana na Namungo FC katika uwanja wa Majariwa msimu wa 2020/2021 ikiwa ni muendelezo wa michuano ya ligi kuu soka Tanzania Bara. Katika mchezo huo timu zote zilitoshana nguvu baada ya kutoka sare ya goli 2-2