Washiriki pamoja na wasimamizi wa mashindano ya Ulengaji Shabaha wakiwa katika Harakati za Mashindano ya Majeshi Tanzania BAMMATA yaliyofanyika february 2019 katika Viwanja vya Kunduchi Jijini Dar es Salaam.Mchezo huo wa ulengaji ulifanyika ili kuimarisha uwezo wa kulenga shabaha miongoni mwa ...
Read More
Habari na Matukio
Wajumbe wa Kamati Tendaji ya BAMMATA katika picha ya pamoja mara baada ya kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika jijini Mbeya katika Bwalo la Magereza la Chuo Ruanda.Wa tatu kutoka kushoto mstari wa mbele ni mwenyekiti wa Baraza hilo Brigedia Jenerali CIRIL MHAIKI.Tanzania imekuwa haifanyi vizuri sana...
Read More
JWTZ lilishiriki katika Mzunguko wa 12 wa Michezo ya Majeshi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki “EAC” iliyofanyikia Nairobi, nchini Kenya kuanzia tarehe 11 – 24 Aug 19. Pamoja na Tanzania washiriki wengine ni kutoka Burundi, Kenya, Rwanda, Sudan Kusini na Uganda. Michezo iliyoshirikishwa ni Mpira ...
Read More