Habari na Matukio

RAISI WA TBF AFANYA KIKAO CHA KWANZA MKOANI DODOMA

RAISI WA TBF AFANYA KIKAO CHA KWANZA MKOANI DODOMA

Shirikisho la Mchezo wa kikapu Tanzania TANZANIA BASKETBALL FEDERATION (TBF) limefanya kikao cha Kwanza mwaka huu 2026 baada ya uchaguzi uliofanyika mwanzoni mwaka huu kuchagua viongozi wapya. Kikao hicho kiliongozwa na Rais wa TBF, Hasheem Thabeet, ambaye sasa anaongoza shirikisho hilo akiwa na dhamira...
JWTZ YANG’ARA KWA KISHINDO TANFOAM MARATHON 2026 ARUSHA

JWTZ YANG’ARA KWA KISHINDO TANFOAM MARATHON 2026 ARUSHA

Mashindano ya TANFOAM Marathon yaliyofanyika leo tarehe 19 Aprili 2026 jijini Arusha yameacha alama kubwa katika ulimwengu wa riadha nchini, huku wanariadha wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakionesha ubora wa hali ya juu, nidhamu na ushindani wa kimataifa katika mbio za kilomita...
MWANARIADHA SGT FELIX SIMBU KUIWAKILISHA TANZANIA BOSTON MARATHON 2026 NCHINI  MAREKANI

MWANARIADHA SGT FELIX SIMBU KUIWAKILISHA TANZANIA BOSTON MARATHON 2026 NCHINI MAREKANI

Mwanariadha mahiri wa Tanzania kutoka Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Felix Simbu, anatarajiwa kushiriki katika mashindano makubwa ya kimataifa ya Boston Marathon yatakayofanyika Jumatatu, tarehe 20 Aprili 2026 nchini Marekani
JWTZ NA POLISI WANG'ARA BUNGE MARATHON 2026 DODOMA

JWTZ NA POLISI WANG'ARA BUNGE MARATHON 2026 DODOMA

Wanariadha kutoka Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) pamoja na Jeshi la Polisi Tanzania wameonesha kiwango cha juu cha ushindani katika mashindano ya Bunge Marathon 2026 yaliyofanyika leo na kuhitimishwa katika Viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.
TANZANIA YANG'AA RIADHA KIMATAIFA

TANZANIA YANG'AA RIADHA KIMATAIFA

Tanzania imeendelea kung'ara katika anga la michezo ya kimataifa baada ya timu ya riadha ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kufanya vizuri kwenye mashindano ya Majeshi ya Dunia.
JWTZ YATINGA UTURUKI ANTALYA KWA MASHINDANO YA DUNIA YA NUSU MARATHONI YA MAJESHI

JWTZ YATINGA UTURUKI ANTALYA KWA MASHINDANO YA DUNIA YA NUSU MARATHONI YA MAJESHI

WAWAKILISHI BAMMATA KIBARUANI UTURUKI KWENYE MASHINDANO YA DUNIA (3rd CISM World Military Half Marathon Championship)
KIKAO CHA MAANDALIZI BAMMATA

KIKAO CHA MAANDALIZI BAMMATA

KIKAO CHA MAANDALIZI YA MASHINDANO YA BAMMATA KILICHOFANYIKA MKOANI TABORA
Alphonce Simbu Aibuka Mshindi Mashindano ya Riadha ya Dunia 2025

Alphonce Simbu Aibuka Mshindi Mashindano ya Riadha ya Dunia 2025

Alphonce Simbu ashinda medali ya kwanza ya dhahabu ya Tanzania katika mbio za marathon za wanaume.
Kamati ya Utendaji ya BAMMATA Yawasili Zanzibar

Kamati ya Utendaji ya BAMMATA Yawasili Zanzibar

Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) Leo tarehe 03 September 2025 imewatembelea vijana wapiga Makachu eneo la Forodhani mjini Unguja Zanzibar katika kuelekea ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi Tanzania yanayotarajiwa kuanza mnamo tarehe 06 September 2025.
Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Uchumi Mipango na Fedha ya BAMMATA Aendesha Kikao.

Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Uchumi Mipango na Fedha ya BAMMATA Aendesha Kikao.

Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Uchumi Mipango na Fedha ya Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) DCF Kennedy Komba ameongoza kikao tarehe 10 March 2025 Kwenye ukumbi wa Corridor Spring hotel jijini Arusha
Wajumbe wa Kamati Ndogo ya BAMMATA ya mipango, uchumi na fedha wakiwa kwenye mkutano kujadili mambo mbali mbali ya kichumi na fedha

Wajumbe wa Kamati Ndogo ya BAMMATA ya mipango, uchumi na fedha wakiwa kwenye mkutano kujadili mambo mbali mbali ya kichumi na fedha

Wajumbe wa Kamati Ndogo ya BAMMATA ya mipango, uchumi na fedha wakiwa kwenye mkutano kujadili mambo mbali mbali ya kichumi na fedha uliofanyikableo tarehe 10 March 2025 kwenye ukumbi wa Corridor Spring hotel jijini Arusha
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) pamoja na Jeshi la Polisi zashiriki " 2nd Military All African Games"

Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) pamoja na Jeshi la Polisi zashiriki " 2nd Military All African Games"

Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lashiriki mashindano ya  " 2nd Military All African Games" yanayofanyika katika jiji kuu la Abuja Nchini Nigeria,katika mashindano hayo JWTZ kushiriki jumla ya michezo mitatu ambayo ni GOLF,  BOXING & MARATHON, mashindano hayo yalianza tarehe 18...
Kanali Davidi Luoga kuwa Katibu Mkuu wa BAMMATA

Kanali Davidi Luoga kuwa Katibu Mkuu wa BAMMATA

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi amteua Kanali Davidi Luoga kuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) ambaye akichukua nafasi ya Kanali Martin Msumari ambaye amepangiwa majukumu mengine ndani ya JWTZ.
Kanda ya Polisi yashiriki vikao vya EAPCCO GAMES

Kanda ya Polisi yashiriki vikao vya EAPCCO GAMES

Kanda ya Polisi yashiriki vikao vya EAPCCO GAMES katika jiji la Addis Ababa Nchini Ethiopia kwa ajili ya kukagua miundombinu ya michezo hiyo ambayo hujumisha nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania,Burundi,Kenya,Rwanda,Sudan na Uganda,kwa upande wa Tanzania iliwakilishwa na ACP Nkuba na A/Insp Saddy Mrope,ambapo mashindano hayo...