Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Uchumi Mipango na Fedha ya BAMMATA Aendesha Kikao.

Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Uchumi Mipango na Fedha ya Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) DCF Kennedy Komba ameongoza kikao tarehe 10 March 2025 Kwenye ukumbi wa Corridor Spring hotel jijini Aru
sha