Kamati ya Utendaji ya BAMMATA Yawasili Zanzibar

Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) Leo tarehe 03 September 2025 imewatembelea vijana wapiga Makachu eneo la Forodhani mjini Unguja Zanzibar katika kuelekea ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi Tanzania yanayotarajiwa kuanza mnamo tarehe 06 September 2025.