Habari na Matukio

Wajumbe wa Kamati Ndogo ya BAMMATA ya mipango, uchumi na fedha wakiwa kwenye mkutano kujadili mambo mbali mbali ya kichumi na fedha

Wajumbe wa Kamati Ndogo ya BAMMATA ya mipango, uchumi na fedha wakiwa kwenye mkutano kujadili mambo mbali mbali ya kichumi na fedha

Wajumbe wa Kamati Ndogo ya BAMMATA ya mipango, uchumi na fedha wakiwa kwenye mkutano kujadili mambo mbali mbali ya kichumi na fedha uliofanyikableo tarehe 10 March 2025 kwenye ukumbi wa Corridor Spring hotel jijini Arusha
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) pamoja na Jeshi la Polisi zashiriki " 2nd Military All African Games"

Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) pamoja na Jeshi la Polisi zashiriki " 2nd Military All African Games"

Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lashiriki mashindano ya  " 2nd Military All African Games" yanayofanyika katika jiji kuu la Abuja Nchini Nigeria,katika mashindano hayo JWTZ kushiriki jumla ya michezo mitatu ambayo ni GOLF,  BOXING & MARATHON, mashindano hayo yalianza tarehe 18...
Kanali Davidi Luoga kuwa Katibu Mkuu wa BAMMATA

Kanali Davidi Luoga kuwa Katibu Mkuu wa BAMMATA

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi amteua Kanali Davidi Luoga kuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) ambaye akichukua nafasi ya Kanali Martin Msumari ambaye amepangiwa majukumu mengine ndani ya JWTZ.
Kanda ya Polisi yashiriki vikao vya EAPCCO GAMES

Kanda ya Polisi yashiriki vikao vya EAPCCO GAMES

Kanda ya Polisi yashiriki vikao vya EAPCCO GAMES katika jiji la Addis Ababa Nchini Ethiopia kwa ajili ya kukagua miundombinu ya michezo hiyo ambayo hujumisha nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania,Burundi,Kenya,Rwanda,Sudan na Uganda,kwa upande wa Tanzania iliwakilishwa na ACP Nkuba na A/Insp Saddy Mrope,ambapo mashindano hayo...
Katibu Mkuu Mstaafu wa BAMMATA Kanali Martin Msumari na Mwenyekiti Mstaafu Kanda ya Magereza ACP Maltilda Mlawaa wapokea Zawadi ya Tuzo

Katibu Mkuu Mstaafu wa BAMMATA Kanali Martin Msumari na Mwenyekiti Mstaafu Kanda ya Magereza ACP Maltilda Mlawaa wapokea Zawadi ya Tuzo

Mwenyekiti wa BAMMATA Brig Gen Said Hamis Saidi akiwakabidhi Tuzo Kanali Martin Msumari na ACP Maltilda Mlawa kwa kutumikia vyema Baraza katika nafasi zao kwa kipindi chote cha Zaidi ya Miaka minne kama Katibu Mkuu wa BAMMATA na Mwenyekiti wa Kanda ya Magereza, baada...
Ufunguzi wa Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) inayofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani MOROGORO

Ufunguzi wa Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) inayofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani MOROGORO

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mh.Hemed Suleiman Abdulla  Mgeni  Rasmi Ufunguzi wa Michezo ya Majeshi  Tanzania (BAMMATA) itakayofanyika katika Uwanja wa Jamhuri  Mkoani  MOROGORO, inayofanyika  kuanzia Tarehe 06 September 2024 na inatarajiwa kuchukua siku Kumi.
Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM) akutana na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ

Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM) akutana na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ

Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ),Luteni Jenerali Salum Haji Othman amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM), ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Baraza hilo,Navy Captain Robert Recchie  Upanga,  Jijini Dar Es Salaam...
Viongozi na Wajumbe wa Kamati tendaji ya BAMMATA wendesha Vikao Mkoani Mbeya

Viongozi na Wajumbe wa Kamati tendaji ya BAMMATA wendesha Vikao Mkoani Mbeya

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Mh.Beno Malisa ashiriki na Viongozi na Wajumbe wa Kamati tendaji ya BAMMATA TAIFA katika Ufunguzi wa Vikao vinavyoendelea Mkoani Mbeya ambapo Mh.Malisa Alikuwa akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ,Tarehe 07/03/2024.
Kamati ya utendaji na wajumbe wa mkutano mkuu wa BAMMATA

Kamati ya utendaji na wajumbe wa mkutano mkuu wa BAMMATA

Mwenye kiti wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) Brigedia Jenerali Saidi Hamis Saidi akiwa na wajumbe wa kamati ya utendaji na wajumbe wa mkutano mkuu wa BAMMATA uliofanyika Mkoani Kilimanjaro kuanzia tarehe 7-8/12/2023 katika ukumbi wa chuo Cha Uhamiaji TRITA -MOSHI
BAMMATA washiriki kikao cha kamati tendaji tarehe 4 augusti 2023

BAMMATA washiriki kikao cha kamati tendaji tarehe 4 augusti 2023

Kamati tendaji ya Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) wameendesha kikao katika Ukumbi wa Lenana Mwanza, kujadili Michezo ya BAMMATA na kuongeza idadi ya Michezo ikiwemo timu za wanawake kwenye mpira wa miguu.
Mwenyekiti wa BAMMATA Brigedia Generali Suleiman Bakari Gwaya akiongoza Kikao Cha Kamati Tendaji

Mwenyekiti wa BAMMATA Brigedia Generali Suleiman Bakari Gwaya akiongoza Kikao Cha Kamati Tendaji

Mwenyekiti wa BAMMATA Brigedia Generali Suleiman Bakari Gwaya akiongoza Kikao Cha Kamati Tendaji Cha BAMMATA katika Ukumbi wa Bwalo la Umwema JKT Mkoani Morogoro, Tarehe 11/5/2023
Waziri wa Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mh Tabia Maulid Mwita akiwana katika Sherehe maalum ya Kuwapongeza Wana michezo wa Kanda ya SMZ

Waziri wa Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mh Tabia Maulid Mwita akiwana katika Sherehe maalum ya Kuwapongeza Wana michezo wa Kanda ya SMZ

Waziri wa Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mh Tabia Maulid Mwita (wakati) akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa vikosi maalum vya SMZ katika Sherehe maalum ya Kuwapongeza Wana michezo wa Kanda ya SMZ zilizo fanyika Zanzibar katika kambi ya KVZ, baada ya Ushindi...
Waziri wa Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mh Tabia Maulid Mwita akiwa katika sherehe ya kuwapongeza Kanda ya SMZ kwa Ushindi

Waziri wa Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mh Tabia Maulid Mwita akiwa katika sherehe ya kuwapongeza Kanda ya SMZ kwa Ushindi

Waziri wa Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mh Tabia Maulid Mwita (wakati) katika Kikosi cha Vallantia katika Sherehe maalum ya kuwapongeza Kanda ya SMZ kwa Ushindi mkubwa walioupata katika Mashindano ya Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) yaliyofanyika Mkoani Mtwara Tar 09 -21 February...
Mh Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Pindi Chana akabidhi Tuzo za Mwanamichezo Bora Tanzania kwa mwaka 2022

Mh Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Pindi Chana akabidhi Tuzo za Mwanamichezo Bora Tanzania kwa mwaka 2022

Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania(BAMMATA) Kanali Martini Msumari(wa pili toka kulia) akiwa katika picha ya Pamoja na Washindi wa Tuzo za BMT kutoka Kanda ya ya NGOME (JWTZ) ya BAMMATA,Kasimu Mbundwike(kushoto)mAlphonce Simbu na Changarawe (kulia) katika Sherehe ya Utoaji wa...
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Abbas akifungua mchezo wa mpira wa Pete Kati ya Timu toka kanda ya ZIMAMOTO na Timu toka Kanda ya MAGEREZA

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Abbas akifungua mchezo wa mpira wa Pete Kati ya Timu toka kanda ya ZIMAMOTO na Timu toka Kanda ya MAGEREZA

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Abbas akifungua mchezo wa mpira wa Pete Kati ya Timu toka kanda ya ZIMAMOTO na Timu toka Kanda ya MAGEREZA alipo tembelea viwanja vya Chuo cha Ualimu Mtwara ambapo Michezo ya Majeshi lipokuwa ikifanyika Mkoani Mtwara February 2023