Viongozi na Wajumbe wa Kamati tendaji ya BAMMATA wendesha Vikao Mkoani Mbeya

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Mh.Beno Malisa ashiriki na Viongozi na Wajumbe wa Kamati tendaji ya BAMMATA TAIFA katika Ufunguzi wa Vikao vinavyoendelea Mkoani Mbeya ambapo Mh.Malisa Alikuwa akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ,Tarehe 07/03/2024.