Kanda ya Polisi yashiriki vikao vya EAPCCO GAMES

Kanda
ya Polisi yashiriki vikao vya EAPCCO GAMES katika jiji la Addis Ababa
Nchini Ethiopia kwa ajili ya kukagua miundombinu ya michezo hiyo ambayo
hujumisha nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania,Burundi,Kenya,Rwanda,Sudan na
Uganda,kwa upande wa Tanzania iliwakilishwa na ACP Nkuba na A/Insp Saddy
Mrope,ambapo mashindano hayo yanakadiliwa kuanza kufanyika tarehe April 27 hadi
Mei 04 2025,Vikao hivyo vilianza Novemba 08 hadi 20, 2024.