Ufunguzi wa Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) inayofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani MOROGORO

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mh.Hemed Suleiman Abdulla Mgeni Rasmi Ufunguzi wa Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) itakayofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani MOROGORO, inayofanyika kuanzia Tarehe 06 September 2024 na inatarajiwa kuchukua siku Kumi.
Mkuu wa Mkoa wa MOROGORO Mh. Adam Malima pamoja
na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Salum Haji Othuman wakiambatana na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mh.Hemed
Suleiman Abdulla mkoani MOROGORO katika Ufunguzi wa Michezo ya Majeshi Tanzania(BAMMATA) Tarehe 06 September 2024.