Habari na Matukio

JKT Tanzania katika michuano ligi kuu Tanzania bara dhidi ya timu ya Yanga

JKT Tanzania katika michuano ligi kuu Tanzania bara dhidi ya timu ya Yanga

Kikosi cha timu ya JKT Tanzania yavaana na timu ya Yanga katika mfululizo wa michuano ya ligi kuu soka Tanzania bara katika uwanja wa Benjamini mkapa jijini Dsm msimu wa 2019/2020.
Magereza washinda Mchezo wa Judo vilabu vya majeshi East Africa

Magereza washinda Mchezo wa Judo vilabu vya majeshi East Africa

Timu ya Judo ikiwa na vikombe vya mshindi wa kwanza wa mashindano ya Vilabu vya majeshi ya East Africa yaliyofanyika Moshi Tanzania December 6-12,2021 walioshika vikombe ni Afande RPO Mkoa wa Kilimanjaro na Afande Mkuu wa Gereza Karanga Moshi
Mwanariadha wa Jeshi la Magereza katika Mchezo ya Riadha chini Finland mwaka 2005

Mwanariadha wa Jeshi la Magereza katika Mchezo ya Riadha chini Finland mwaka 2005

Mwanariadha wa jeshi la Magereza Christopher Isegwe aliliwakilisha Taifa mwaka, 2005 ELSINKI, Finland katika mashindano ya Dunia ya riadha na kushika nafasi ya pili katika mbio za Marathon na kupata zawadi medali ya fedha tasrimu.
Mashindano ya Majeshi (CISM) Wuhan China 2019

Mashindano ya Majeshi (CISM) Wuhan China 2019

JWTZ yashiriki michezo ya CISM ikijumuisha  michezo ya mieleka, riadha na ngumi Wuhan China mwaka 2020.
Timu ya Mpira wa Wavu ya Brigedi ya NYUKI (101KV) Bingwa wa Mpira Wavu (Volley Ball) 2020

Timu ya Mpira wa Wavu ya Brigedi ya NYUKI (101KV) Bingwa wa Mpira Wavu (Volley Ball) 2020

Timu teule ya Mpira wa Wavu ya Brigedi ya NYUKI (101KV),katika mashindano hayo yalichezwa mwezi wa Apr 2020, Mgeni rasmi alikua Mkuu wa Wilaya ya Wete Mheshimiwa ALI ABEID, Pamoja na Sheha wa Shehia ya Majenzi. Pia katika mashindano hayo timu ya Nyuki ilifanikiwa...
Mchezo wa Riadha Kanda ya VISIWANI Januari 2022

Mchezo wa Riadha Kanda ya VISIWANI Januari 2022

Timu teule ya Riadha ya Brigedi ya NYUKI (101KV),Ikiwa katika kiwanja cha Brigedi wakiwa na kombe la ushindi wa tatu katika Mashindano ya Riadha Vilabu Bingwa Zanzibar.
Timu teule ya Squash Brigedi ya NYUKI (101KV)

Timu teule ya Squash Brigedi ya NYUKI (101KV)

Timu teule ya Squash Brigedi ya NYUKI (101KV)
Mashindano ya BAMMATA 2021 yafanyika Jijini Dodoma

Mashindano ya BAMMATA 2021 yafanyika Jijini Dodoma

Mashindano ya BAMMATA mwaka 2021 yafanyikia Jijini Dodoma , kanda za BAMMATA zajizolea ushindi katika michezo mbalimbali
BAMMATA yaendesha mashindano ya ulengaji shabaha

BAMMATA yaendesha mashindano ya ulengaji shabaha

Washiriki pamoja na wasimamizi wa mashindano ya Ulengaji Shabaha wakiwa katika Harakati za Mashindano ya Majeshi Tanzania BAMMATA yaliyofanyika february 2019 katika Viwanja vya Kunduchi Jijini Dar es Salaam.
Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania ladhamiria kutatua changamoto ya Michezo

Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania ladhamiria kutatua changamoto ya Michezo

Wajumbe wa Kamati Tendaji ya BAMMATA katika picha ya pamoja mara baada ya kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika jijini Mbeya katika Bwalo la Magereza la Chuo Ruanda.Wa tatu kutoka kushoto mstari wa mbele ni mwenyekiti wa Baraza hilo Brigedia Jenerali CIRIL MHAIKI.
JWTZ yashiriki michezo ya majeshi -Nairobi Kenya 2019

JWTZ yashiriki michezo ya majeshi -Nairobi Kenya 2019

JWTZ lilishiriki katika Mzunguko wa 12 wa Michezo ya Majeshi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki “EAC” iliyofanyikia Nairobi, nchini Kenya kuanzia tarehe 11 – 24 Aug 19. Pamoja na Tanzania washiriki wengine ni kutoka Burundi, Kenya, Rwanda, Sudan Kusini na Uganda. Michezo iliyoshirikishwa ni...