Kamati tendaji na kikao cha kwanza cha Kamati ya Mashindano ya BAMMATA Kilicho fanyika katika Ukumbi wa MGULANI JKT

Mwenyekiti wa BAMMATA Brigedia Jenerali Suleiman B. Gwaya , Katibu BAMMATA Kanali Martini S.Msumari  na Makamu mwenyekiti  DCF Kennedy C.Komba  pamoja na Sekretarieti wahudhuria kikao cha Kumi na Moja cha Kamati tendaji na kikao cha kwanza cha Kamati ya Mashindano ya BAMMATA Kilicho fanyika katika Ukumbi  wa MGULANI  JKT Dar es Salaam, Tarehe 13 Jan 2022.

Matukio katika picha

Mwenyekiti wa BAMMATA Brigedia Jenerali Suleiman B. Gwaya (katikati), Katibu Mkuu Kanali Martin S. Msumari (kushoto) na Makamu mwenyekiti DCF Kennedy C. Komba kulia wakiongoza kikao cha kamati tendaji

Kamati tendaji kwenye kikao katika ukumbi wa JKT Mgulani

Kamati tendaji kwenye kikao katika ukumbi wa JKT Mgulani