Timu ya Handball toka kanda ya Ngome yawa mabingwa wa kombe la klabu Bingwa muungano Cup yaliyofanyika visiwani Zanzibar kuanzia tarehe 18- 23 May 22
Pia handball wanawake waibuka kidedea kwa kuwa mabingwa mashindano katika hayo dhidi ya wanawake yaliyofanyika visiwani Zanzibar
kanda ya Ngome mabingwa wa kombe la klabu Bingwa muungano Cup yaliyofanyika visiwani Zanzibar kuanzia tarehe 18- 23 May 22
Kanda ya Ngome Handball wanawake muungano Cup yaliyofanyika visiwani Zanzibar kuanzia tarehe 18- 23 May 22