Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa kumi wa BAMMATA wafanyika ukiogozwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa WIZARA YA UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO Mhe. Ally Mayay Tembele akiwa na viongozi wa Sekretariet ya Kamati Tendaji ya Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA)

Wajumbe wahudhuria kikao cha Kumi (10) cha Kamati Tendaji ya BAMMATA Kilicho fanyika katika Ukumbi wa MBWENI JKT Dar es Salaam, Tarehe 20 Dec -21/2022
Viongozi ngazi ya juu BAMMATA wakiongoza kikao
Wenyeviti wa kanda BAMMATA
Baadhi ya wataalamu na wajumbe wa BAMMATA
Kikao cha pamoja na wajumbe wa BAMMATA