Habari na Matukio

Kanda ya Ngome yashiriki TULIA Cup Jijini Mbeya

Timu ya Riadha Kanda ya Ngome imeshiriki mashindano ya riadha ya "Tulia Marathon" yaliyofanyika jijini Mbeya kuanzia tarehe 06 - 07 Mei 2022 na kushika nafasi ya kwanza kwenye mbio zote ikiwemo 1500m, 10km, 32km na 42 km... Read More

Ushindi wa kihistoria wa Filbert Bayi.

Mwanariadha wa zamani wa Tanzania wa mbio za kati ambaye alishiriki katika miaka ya 1970 hadi 1980. Aliweka rekodi za dunia za mita 1500 mwaka 1974 na maili (8 year mile record) mwaka 1975. Bado ndiye mwanariadha anayeshikilia rekodi ya Michezo ya Jumuiya ya Madola ya mita 1500.... Read More