Kanda ya Ngome yashiriki TULIA Cup Jijini Mbeya

Timu ya Riadha Kanda ya Ngome imeshiriki mashindano ya riadha ya "Tulia Marathon" yaliyofanyika jijini Mbeya kuanzia tarehe 06 - 07 Mei 2022 na kushika nafasi ya kwanza kwenye mbio zote ikiwemo 1500m, 10km, 32km na 42 km