Ushindi wa kihistoria wa Filbert Bayi.

Mwanariadha wa zamani wa Tanzania wa mbio za kati ambaye alishiriki katika miaka ya 1970 hadi 1980. Aliweka rekodi za dunia za mita 1500 mwaka 1974 na maili (8 year mile record) mwaka 1975.
Bado ndiye mwanariadha anayeshikilia rekodi ya Michezo ya Jumuiya ya Madola ya mita 1500.