Timu Handball wanaume Kanda ya Ngome imeshiriki mashindano ya Maadhimisho ya Kumbukizi ya Mauaji ya Kimbari yaliyofanyika nchini Rwanda

Timu Handball wanaume Kanda ya Ngome imeshiriki mashindano ya Maadhimisho ya Kumbukizi ya Mauaji ya Kimbari yaliyofanyika nchini Rwanda kuanzia tarehe 28 - 29 Mei 2022 na kufanikiwa kumaliza hatua ya Robo fainali .