Mwanariadha wa Tanzania toka Kanda ya Ngome aibuka mshindi wa tatu Milano Marathon zilizofanyika 03 Aprili 2022
Mwanariadha wa Tanzania toka Kanda ya Ngome Felix Alphonce Simbu wa kwanza toka kulia alishiriki mbio kubwa za Kimataifa za Milano Marathon zilizofanyika nchini Italia tarehe 03 Aprili 2022 na kuipeperusha bendera ya Tanzania kwa kushika nafasi ya tatu akitanguliwa na Wakenya wawili. WIziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa atoa pongezi kwa mwanariadha huyo.