Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) kupitia Mawasiliano na Matukio Inajulisha kwamba Utaratibu wa Kufanya MEDIA TOUR katika Vipindi vya TV& Radio unaendelea kufanyika katika Vyombo vya Habari Mbalimbali Mkoani Dar es Salaam.
Ifuatayo ni Ratiba ya MEDIA TOUR
1.Tarehe 25 Jan Radio Clouds FM Saa 3 Usiku
2.Tarehe 26 jan. ITV Saa 2 Asubuhi
3.Tarehe 27jan Wasafi Radio Asaa 2 Asubuhi
4.Tarehe 28 Jan Radio One Saa 9 Alasiri 9 Alasiri(musiki na Michezo)
5.Tarehe 29 Radio One(Tamasha la Michezo)
6.Tarehe 26 ETV Saa 7:30 Mchana
Inaombwa wanakamati wajitokeze kushiriki ziara hii Kwa Tarehe tajwa kama ilivyo wasilishwa hapo juu.
Tunaomba ushirikiano, AHSANTE
Maafisa Habari wa BaMMATA wakiwa na Afisa Mteule Daraja la Pili Antony Mwingereza ambaye ni Mwalimu wa Timu ya Riaza ya NGOME pamoja na Wanariadha