Kanda ya SMZ katika Mashindano ya BAMMATA Mkoani Mtwara
.jpg)
Baadhi
ya Wanamichezo toka Kanda ya SMZ wakionyesha Viongozi wa Baraza la Wawakilishi Vikombe walivyoshinda
katika Michezo ya Majeshi (BAMMATA) iliyofanyika Mkoani Mtwara tarehe 09- 21 February 2023