Koplo Hamis Maliki Mpili wa Kanda ya POLISI akabidhiwa cheti kwa kujitoa kwake kwa kuanzisha Kituo cha Michezo Mkoani Rukwa

Mwenyekiti wa BAMMATA Brigedia Jenerali Suleiman B. Gwaya akimkabidhi Cheti kutoka BAMMATA Koplo Hamis
Maliki Mpili wa Kanda ya POLISI kwa kujitoa kwake kwa kuanzisha Kituo cha
Michezo Mkoani Rukwa ,Hafla hiyo ilifanyika wakati wa Kamati Tendaji ya BAMMATA Ilipokuwa ikiendelea na Kikao cha
Kwanza cha Kamati ya Mashindano ya Michezo ya Majeshi itakayo fanyika Mkoani Mtwara mwaka huu
2023,Hafla hiyo fupi ili fanyika katika Ukumbi
wa MGULANI JKT Dar es Salaam,
Tarehe 13 Jan 2023