Timu ya basketball Kanda ya Ngome yachukua ubingwa wa Muungano Cup

Timu ya basketball Kanda ya Ngome yachukua ubingwa wa Muungano Cup yaliyofanyika Unguja, Visiwani Zanzibar kuanzia tarehe 07 - 08 Mei 2022 pamoja na kutoa kocha bora wa mashindano Askari wa kike mwanadada Lucy Ngodamwilanga aliyevaa Trucksuit.