Wajumbe wa Kamati Ndogo ya BAMMATA ya mipango ,uchumi na fedha wakiwa kwenye mkutano kujadili mambo mbali mbali ya kichumi na fedha

Wajumbe wa Kamati Ndogo ya BAMMATA ya mipango ,uchumi na fedha wakiwa kwenye mkutano kujadili mambo mbali mbali ya kichumi na fedha uliofanyikableo tarehe 10 March 2025 kwenye ukumbi wa Corridor Spring hotel jijini Arusha