Mmchezo wa Riadha Kanda ya VISIWANI Januari 2022

Timu teule ya Riadha ya Brigedi ya NYUKI (101KV),Ikiwa katika kiwanja cha Brigedi wakiwa na kombe la ushindi wa tatu katika Mashindano ya Riadha Vilabu Bingwa Zanzibar.

KANDA YA VISIWANI WAIBUKA WASHINDI WA TATU MCHEZO WA RIADHA

Timu teule ya Riadha Brigedi ya NYUKI (101kv) yatwaa ushindi kupitia Cpl Ibrahim akiwa na kiongozi mtoa zawadi ameshinda nafasi ya tatu katika mashindano ya “KIMBIA BILA SHAKA”yaliyofanyika Stone Town Forodhani-Zanzibar. 

KANDA YA VISIWANI WAIBUKA WASHINDI WA MPIRA WA KIKAKU

Timu teule ya Mpira wa Kikapu ya Brigedi ya NYUKI (101KV),Pichani Nahodha wa timu  akikabidhiwa kikombe cha mshindi wa kwanza katika mashindano ya mpira wa kikapu ya mapinduzi cup.