Mwanariadha wa Jeshi la Magereza katika Mchezo ya Riadha chini Finland mwaka 2005

Mwanariadha wa jeshi la Magereza Christopher Isegwe aliliwakilisha Taifa mwaka, 2005 ELSINKI, Finland katika mashindano ya Dunia ya riadha na kushika nafasi ya pili katika mbio za Marathon na kupata zawadi  medali ya fedha tasrimu.

Matukio katika picha

Mwanariadha wa jeshi la Magereza Christopher Isegwe

Mwanariadha wa jeshi la Magereza Christopher Isegwe