Mwanariadha wa mbio za kati Lwiza John, akiwakilisha Jeshi la Magereza nje na ndani ya Nchi

MWANARIADHA kutoka Jeshi la Magereza ambae alikuwa timu ya riadha ya taifa katika mbio fupi na za kati (Short and Middle distance) Lwiza John ambaye pia alishiriki mashindano mbalimbali ya kimataifa kama ifuatavyo:-
§Mwaka, 2001 alishiriki mashindano ya mita 800 Doha Qatar na kushika nafasi ya 1.
§ Mwaka, 2003 alishiriki mashindano ya Afrika kwa kukimbia mita 800 na kushika nafasi ya 3