Timu ya Mieleka kanda ya Ngome imefanikiwa kuwa mabingwa wa kombe la Muungano 2022 Jijini DODOMA
Timu ya Mieleka kanda ya Ngome imefanikiwa kuwa mabingwa wa kombe la Muungano 2022 yaliyofanyika jijini Dodoma na kupata Medali saba. Mgeni Rasmi wakati wa ufungaji alikuwa Mkurugenzi wa Utimamu wa Mwili, Michezo na Utamaduni Jeshini Kanali Martin Msumari.
mashindano ya mieleka muungano cup dodoma bingwa timu ya mieleka kanda ya Ngome