Timu ya JKT Tanzania ikiwa katika uwanja wa Majaliwa uliopo katika Mkoa wa Lindi dhidi ya Namungo FC
Picha ya Pamoja ya Timu ya JKT Tanzania ikiwa katika uwanja wa Majaliwa uliopo katika Mkoa wa Lindi ikiwa tayari kupambana na Namungo FC katika Ligi kuu msimu wa Mwaka 2020/2012
Kikosi cha Timu ya JKT Tanzania kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuvaana Na Namungo FC katika uwanja wa Majariwa msimu wa 2020/2021 ikiwa ni muendelezo wa michuano ya ligi kuu soka Tanzania Bara.Katika mchezo huo timu zote zilitoshana nguvu baada ya kutoka sare ya goli 2-2